Uandaaji wa Banda la Vifaranga/Preparing a Brooder
- Banda la kuku ni sehemu muhimu sana ya ufugaji wa kuku kwa sababu vifo vingi hutokea kwa vifaranga. Ni muhimu kuwa makini sana wakati wa uandaaji wa banda la vifaranga na kuhakikisha mahitaji yote muhimu yanazingatiwa.
- Banda linaweza kujengwa kwa matofali au mbao. Ukubwa wa banda unategemea idadi ya vifaranga, kifaranga mmoja anahitaji takribani 1/2 futi ya mraba.
- Banda lipuliziwe dawa ya kuua vijidudu masaa 24 kabla ya kuwasili kwa vifaranga.
- Pumba za mpunga au maranda ya mbao yatandazwe kwenye sakafu ya banda kisha kuwekwe magazeti juu ambayo huwasaidia vifaranga kutembea tembea kuifata sauti ya magazeti hivyo kukifikia chakula na kukila.
- Kuwe na chanzo cha joto katika banda kama vile balbu za umeme, jiko la
mkaa, mafuta au gesi kwa ajili ya kutoa mwanga na joto (takribani 95F) katika banda.
- Nunua vifaa vya kulishia na maji kwa ajili ya vifaranga, vifaa vya maji visiwe vikubwa kuzuia vifaranga kuzama. Vifaa visafishwe vizuri kabla ya kuanza kutumika hata kama ni vipya.
- As you may know, a brooder is one of the most important keys to raising chicken successfully since many deaths happen to chicks. It is very important to carefully prepare a brooder.
- A brooder may be made of bricks or wood. The size depends on the number of chicks wone wants to raise, one chicks requires about 1/2 a square foot.
- A brooder should be fumigated 24 hours before the arrival of chicks.
- Cover the brooder floor with wood chips or rice peels then put newspapers on top to encourage chicks to walk following the sound they make after stepping on the papers and find their food.
- Provide heat by using a lamp, stove or electric bulbs.
- Provide feeders and water-ers that are for chicks to avoid drowning (when the water-ers are too big) and they should be thoroughly cleaned even if they are new.
I will recommend anyone looking for Business loan to mr benjamin who helped me with Four Million USD loan to startup my business and it's was fast When obtaining a loan from them it was surprising at how easy they were to work with.The process was fast and secure. It was definitely a positive experience.Avoid scammers on here and contact mr benjamin On. 247officedept@gmail.com . WhatsApp...+ 19893943740. if you looking for business loan.
ReplyDelete